Monday, April 23, 2018

Hii ni club mpya ifahamikayo kwa jina African Boy's Football Club ikiwa inashiriki kwenye michuano ya ligi daraja la nne mkoa wa Iringa wilaya ya iringa mjini ikiwa kwenye nafasi ya kwanza katika kundi 'A' ⚽